JAMBO KUBWA

I wrote this song two years ago while reminiscing on the death of Jesus Christ and what it means to us. I couldn't think of it any less than what it is: the greatest and most precious act of love this world will ever see.He did all this so you and I could experience grace freely given and freedom from everything that binds us. God has breathed on this tune. Enjoy it and be blessed.

Lyrics

Verse 1:

Kaonewa asiyekuwa hata na dhambi

Kahukumiwa, kwa ajili ya mimimjeuri

Kautoa uhai Wake, hukumu yote initoke

Kweli nimeshuhudia, upendo wa kweli nafahamu

 

Chorus:

Jambo kubwa, misumari michungu kachomwa

Jambo kubwa, damu ya wokovu kavuja

Jambo kubwa, sasa name nimepona

Yelelelelele, jambo kubwa *4

 

Verse 2:

Kama vile magharibi ilivyo mbali na mashariki

Ndivyo vilivyowekwa mbali zetu dhambi

Katika Yeye mkuu, tunao ukombozi wetu

Mizigo mizito uuh, msalabani natua

 

Chorus