KAMA SIO WEWE

'Kama Sio Wewe' is the second song off Laura's debut album, "Natamani Nikuone - The Album". All that I am and hope to be, I wouldn't have achieved had it not been for the grace of God. Psalms 124: "If the Lord had not been on our side..." Let Him build your houses and watch over your cities, that you may not labour in vain.

Lyrics

Chorus:

Kama Sio Wewe *3

Ningekuwa wapi

Ningefanya nini

Kama sio Wewe

 

Verse 1:

Tangu zamani

Tangu utotoni

Pendo langu kwako Yesu

Si la mali wala hali

Baba umenipa nini nikuamini?

Roho yangu Yesu, umeiweza

 

Chorus

 

Verse 2:

Hata kama sikuoni na macho ya kimwili

Bado naamini

Umetenda mengi mpaka siamini

Sifa zangu wastahili

Sauti yangu napaza, napaza

Sifa zako nazitangaza, nazitangaza

 

Chorus

Bridge:

Nakupenda Yesu imenibidi niseme kwenye wimbo *4

Chorus