NIMEONJA

Psalms 34:8 “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in Him.” My God is good. I love Him and I know He is good. I have tasted of His love.. He is indeed so good!

Lyrics

Chorus:

Nimeonja pendo lako name najua Wewe U mwema

Nhia Zako nimezitambua kweli najua Weh U mwema

*2

 

Verse 1:

Kila wakati, nitakuhimidi Bwana

Sifa Zako zi kinywani daima

Kwako Wewe nafsi yangu itajisifu

Wasikie wafurahie wanyenyekevu

Nilikutafuta ukanijibu

Ukaniponya kwa zangu zote masaibu

Usifiwe, uabudiwe Bwana

Hakuna kama Wewe

 

Chorus

 

Verse 2:

Nikiugua Wewe waniponya

Nikianguka waniinua

Wewe ni ngao yangu, pande zote

Sina hofu sibabaiki kamwe

Kwa sauti mimi nitaimba

Mataifa yote yasikie,

Kuwa Wewe Pekee ndiye Mkuu

Chorus